First Ayah 1 الأية الأوليبِسْم ِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ
الْحَمْدُ لِلَّهِ الَّذِي لَهُ مَا فِي السَّمَاوَاتِ وَمَا فِي الْأَرْضِ وَلَهُ
الْحَمْدُ فِي الْآخِرَةِ ۚ وَهُوَ الْحَكِيمُ الْخَبِيرُ
Alhamdu lillahi allatheelahu ma fee assamawati wamafee al-ardi walahu alhamdu
fee al-akhiratiwahuwa alhakeemu alkhabeer
Swahili
Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, ambaye ni vyake vyote viliomo mbnguni na
katika ardhi. Na sifa ni zake Yeye katika Akhera. Naye ni Mwenye hikima, Mwenye
khabari.
|
Ayah 34:2 الأية
يَعْلَمُ مَا يَلِجُ فِي الْأَرْضِ وَمَا يَخْرُجُ مِنْهَا وَمَا يَنزِلُ مِنَ
السَّمَاءِ وَمَا يَعْرُجُ فِيهَا ۚ وَهُوَ الرَّحِيمُ الْغَفُورُ
YaAAlamu ma yaliju fee al-ardiwama yakhruju minha wama yanzilu mina assama-iwama
yaAAruju feeha wahuwa arraheemualghafoor
Swahili
Anajua yanayo ingia katika ardhi na yanayo toka humo, na yanayo teremka kutoka
mbinguni, na yanayo panda huko. Na Yeye ni Mwenye kurehemu, Mwenye kusamehe.
|
Ayah 34:3 الأية
وَقَالَ الَّذِينَ كَفَرُوا لَا تَأْتِينَا السَّاعَةُ ۖ قُلْ بَلَىٰ وَرَبِّي
لَتَأْتِيَنَّكُمْ عَالِمِ الْغَيْبِ ۖ لَا يَعْزُبُ عَنْهُ مِثْقَالُ ذَرَّةٍ فِي
السَّمَاوَاتِ وَلَا فِي الْأَرْضِ وَلَا أَصْغَرُ مِن ذَٰلِكَ وَلَا أَكْبَرُ
إِلَّا فِي كِتَابٍ مُّبِينٍ
Waqala allatheena kafaroo lata/teena assaAAatu qul bala warabbeelata/tiyannakum
AAalimi alghaybi la yaAAzubu AAanhumithqalu tharratin fee assamawatiwala fee
al-ardi wala asgharu min thalikawala akbaru illa fee kitabin mubeen
Swahili
Na walisema walio kufuru: Haitatufikia Saa (ya Kiyama). Sema: Kwani? Hapana
shaka itakufikieni, naapa kwa haki ya Mola wangu Mlezi, Mwenye kujua ya ghaibu!
Hapana kinacho fichikana kwake hata chenye uzito wa chembe tu, si katika mbingu
wala katika ardhi, wala kilicho kidogo kuliko hivyo, wala kikubwa zaidi; ila
vyote hivyo vimo katika Kitabu chake chenye kubainisha.
|
Ayah 34:4 الأية
لِّيَجْزِيَ الَّذِينَ آمَنُوا وَعَمِلُوا الصَّالِحَاتِ ۚ أُولَٰئِكَ لَهُم
مَّغْفِرَةٌ وَرِزْقٌ كَرِيمٌ
Liyajziya allatheena amanoowaAAamiloo assalihati ola-ika lahummaghfiratun
warizqun kareem
Swahili
Ili awalipe walio amini na wakatenda mema. Hao watapata msamaha na riziki ya
ukarimu.
|
Ayah 34:5 الأية
وَالَّذِينَ سَعَوْا فِي آيَاتِنَا مُعَاجِزِينَ أُولَٰئِكَ لَهُمْ عَذَابٌ مِّن
رِّجْزٍ أَلِيمٌ
Wallatheena saAAaw fee ayatinamuAAajizeena ola-ika lahum AAathabun minrijzin
aleem
Swahili
Na wale walio jitahidi kuzipinga Ishara zetu wakaona watashinda, hao watapata
adhabu mbaya yenye uchungu.
|
Ayah 34:6 الأية
وَيَرَى الَّذِينَ أُوتُوا الْعِلْمَ الَّذِي أُنزِلَ إِلَيْكَ مِن رَّبِّكَ هُوَ
الْحَقَّ وَيَهْدِي إِلَىٰ صِرَاطِ الْعَزِيزِ الْحَمِيدِ
Wayara allatheena ootooalAAilma allathee onzila ilayka min rabbika huwa
alhaqqawayahdee ila sirati alAAazeezi alhameed
Swahili
Na walio pewa ilimu wanaona ya kuwa ulio teremshiwa kutoka kwa Mola wako Mlezi
ni haki, nayo huongoa kwendea njia ya Mwenye nguvu, Mwenye kusifiwa.
|
Ayah 34:7 الأية
وَقَالَ الَّذِينَ كَفَرُوا هَلْ نَدُلُّكُمْ عَلَىٰ رَجُلٍ يُنَبِّئُكُمْ إِذَا
مُزِّقْتُمْ كُلَّ مُمَزَّقٍ إِنَّكُمْ لَفِي خَلْقٍ جَدِيدٍ
Waqala allatheena kafaroo halnadullukum AAala rajulin yunabbi-okum ithamuzziqtum
kulla mumazzaqin innakum lafee khalqin jadeed
Swahili
Na walio kufuru walisema: Je! Tukujuulisheni mtu anaye kuambieni kwamba mtakapo
chambuliwa mapande mapande mtakuwa katika umbo jipya?
|
Ayah 34:8 الأية
أَفْتَرَىٰ عَلَى اللَّهِ كَذِبًا أَم بِهِ جِنَّةٌ ۗ بَلِ الَّذِينَ لَا
يُؤْمِنُونَ بِالْآخِرَةِ فِي الْعَذَابِ وَالضَّلَالِ الْبَعِيدِ
Aftara AAala Allahi kathibanam bihi jinnatun bali allatheena la yu/minoona
bil-akhiratifee alAAathabi waddalali albaAAeed
Swahili
Ama amemzulia Mwenyezi Mungu uwongo, au ana wazimu. Bali wasio amini Akhera wamo
adhabuni na upotofu wa mbali kabisa.
|
Ayah 34:9 الأية
أَفَلَمْ يَرَوْا إِلَىٰ مَا بَيْنَ أَيْدِيهِمْ وَمَا خَلْفَهُم مِّنَ السَّمَاءِ
وَالْأَرْضِ ۚ إِن نَّشَأْ نَخْسِفْ بِهِمُ الْأَرْضَ أَوْ نُسْقِطْ عَلَيْهِمْ
كِسَفًا مِّنَ السَّمَاءِ ۚ إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَآيَةً لِّكُلِّ عَبْدٍ مُّنِيبٍ
Afalam yaraw ila ma baynaaydeehim wama khalfahum mina assama-i wal-ardiin nasha/
nakhsif bihimu al-arda aw nusqitAAalayhim kisafan mina assama-i inna fee
thalikalaayatan likulli AAabdin muneeb
Swahili
Kwani hawaoni yaliyo mbele yao na yaliyo nyuma yao ya mbingu na ardhi? Tungeli
penda tungeli wadidimiza ndani ya ardhi, au tungeli wateremshia juu yao vipande
vya mbingu. Hakika katika haya zipo Ishara kwa kila mja aliye tubia.
|
Ayah 34:10 الأية
وَلَقَدْ آتَيْنَا دَاوُودَ مِنَّا فَضْلًا ۖ يَا جِبَالُ أَوِّبِي مَعَهُ
وَالطَّيْرَ ۖ وَأَلَنَّا لَهُ الْحَدِيدَ
Walaqad atayna dawoodaminna fadlan ya jibalu awwibeemaAAahu wattayra waalanna
lahu alhadeed
Swahili
Na tulimpa Daudi fadhila kutoka kwetu, (tukasema): Enyi milima! Karirini
kumtakasa Mwenyezi Mungu pamoja naye! Na ndege pia. Na tukamlainishia chuma.
|
Ayah 34:11 الأية
أَنِ اعْمَلْ سَابِغَاتٍ وَقَدِّرْ فِي السَّرْدِ ۖ وَاعْمَلُوا صَالِحًا ۖ إِنِّي
بِمَا تَعْمَلُونَ بَصِيرٌ
Ani iAAmal sabighatin waqaddirfee assardi waAAmaloo salihan inneebima
taAAmaloona baseer
Swahili
(Tukamwambia:) Tengeneza nguo za chuma pana, na kadiria sawa katika kuunganisha.
Na tendeni mema. Hakika Mimi nayaona vyema mnayo yatenda.
|
Ayah 34:12 الأية
وَلِسُلَيْمَانَ الرِّيحَ غُدُوُّهَا شَهْرٌ وَرَوَاحُهَا شَهْرٌ ۖ وَأَسَلْنَا
لَهُ عَيْنَ الْقِطْرِ ۖ وَمِنَ الْجِنِّ مَن يَعْمَلُ بَيْنَ يَدَيْهِ بِإِذْنِ
رَبِّهِ ۖ وَمَن يَزِغْ مِنْهُمْ عَنْ أَمْرِنَا نُذِقْهُ مِنْ عَذَابِ السَّعِيرِ
Walisulaymana arreehaghuduwwuha shahrun warawahuha shahrunwaasalna lahu AAayna
alqitri wamina aljinni manyaAAmalu bayna yadayhi bi-ithni rabbihi waman
yazighminhum AAan amrina nuthiqhu min AAathabi assaAAeer
Swahili
Na Suleiman tuliufanya upepo umtumikie. Safari yake ya asubuhi ni mwendo wa
mwezi mmoja, na safari yake ya jioni ni mwendo wa mwezi mmoja. Na tukamyayushia
chemchem ya shaba. Na katika majini walikuwako walio kuwa wakifanya kazi mbele
yake kwa idhini ya Mola wake Mlezi. Na kila anaye jitenga na amri yetu katika
wao, tunamwonjesha adhabu ya Moto unao waka.
|
Ayah 34:13 الأية
يَعْمَلُونَ لَهُ مَا يَشَاءُ مِن مَّحَارِيبَ وَتَمَاثِيلَ وَجِفَانٍ كَالْجَوَابِ
وَقُدُورٍ رَّاسِيَاتٍ ۚ اعْمَلُوا آلَ دَاوُودَ شُكْرًا ۚ وَقَلِيلٌ مِّنْ
عِبَادِيَ الشَّكُورُ
YaAAmaloona lahu ma yashao minmahareeba watamatheela wajifanin
kaljawabiwaqudoorin rasiyatin iAAmaloo ala dawoodashukran waqaleelun min
AAibadiya ashshakoor
Swahili
Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, na madeste makubwa
kama mahodhi, na masufuria makubwa yasiyo ondolewa mahala pake. Enyi watu wa
Daudi! Fanyeni kazi kwa kushukuru. Ni wachache katika waja wangu wanao shukuru.
|
Ayah 34:14 الأية
فَلَمَّا قَضَيْنَا عَلَيْهِ الْمَوْتَ مَا دَلَّهُمْ عَلَىٰ مَوْتِهِ إِلَّا
دَابَّةُ الْأَرْضِ تَأْكُلُ مِنسَأَتَهُ ۖ فَلَمَّا خَرَّ تَبَيَّنَتِ الْجِنُّ
أَن لَّوْ كَانُوا يَعْلَمُونَ الْغَيْبَ مَا لَبِثُوا فِي الْعَذَابِ الْمُهِينِ
Falamma qadaynaAAalayhi almawta ma dallahum AAala mawtihi illadabbatu al-ardi
ta/kulu minsaatahu falammakharra tabayyanati aljinnu an law kanoo
yaAAlamoonaalghayba ma labithoo fee alAAathabi almuheen
Swahili
Na tulipo mhukumia kufa, hapana aliye wajuulisha kufa kwake ila mnyama wa ardhi
aliye kula fimbo yake. Na alipo anguka majini walitambua lau kuwa wangeli jua ya
ghaibu wasingeli kaa katika adhabu hiyo ya kufedhehesha.
|
Ayah 34:15 الأية
لَقَدْ كَانَ لِسَبَإٍ فِي مَسْكَنِهِمْ آيَةٌ ۖ جَنَّتَانِ عَن يَمِينٍ وَشِمَالٍ
ۖ كُلُوا مِن رِّزْقِ رَبِّكُمْ وَاشْكُرُوا لَهُ ۚ بَلْدَةٌ طَيِّبَةٌ وَرَبٌّ
غَفُورٌ
Laqad kana lisaba-in fee maskanihim ayatunjannatani AAan yameenin washimalin
kuloo min rizqirabbikum washkuroo lahu baldatun tayyibatunwarabbun ghafoor
Swahili
Hakika ilikuwapo Ishara kwa (watu wa nchi ya) Sabaa katika maskani yao - bustani
mbili, kulia na kushoto. Kuleni katika riziki ya Mwenyezi Mungu, na mumshukuru.
Mji mzuri na Mola Mlezi aliye Msamehevu.
|
Ayah 34:16 الأية
فَأَعْرَضُوا فَأَرْسَلْنَا عَلَيْهِمْ سَيْلَ الْعَرِمِ وَبَدَّلْنَاهُم
بِجَنَّتَيْهِمْ جَنَّتَيْنِ ذَوَاتَيْ أُكُلٍ خَمْطٍ وَأَثْلٍ وَشَيْءٍ مِّن
سِدْرٍ قَلِيلٍ
FaaAAradoo faarsalna AAalayhimsayla alAAarimi wabaddalnahum bijannatayhim
jannatayni thawatayokulin khamtin waathlin washay-in min sidrin qaleel
Swahili
Lakini wakaacha. Tukawapelekea mafuriko makubwa, na tukawabadilishia badala ya
bustani zao hizo kwa bustani nyengine zenye matunda makali machungu, na mivinje,
na kidogo katika miti ya kunazi.
|
Ayah 34:17 الأية
ذَٰلِكَ جَزَيْنَاهُم بِمَا كَفَرُوا ۖ وَهَلْ نُجَازِي إِلَّا الْكَفُورَ
Thalika jazaynahum bimakafaroo wahal nujazee illa alkafoor
Swahili
Hayo tuliwalipa kwa sababu ya walivyo kufuru. Nasi kwani tunamuadhibu isipo kuwa
anaye kufuru?
|
Ayah 34:18 الأية
وَجَعَلْنَا بَيْنَهُمْ وَبَيْنَ الْقُرَى الَّتِي بَارَكْنَا فِيهَا قُرًى
ظَاهِرَةً وَقَدَّرْنَا فِيهَا السَّيْرَ ۖ سِيرُوا فِيهَا لَيَالِيَ وَأَيَّامًا
آمِنِينَ
WajaAAalna baynahum wabayna alquraallatee barakna feeha quran
thahiratanwaqaddarna feeha assayra seeroo feehalayaliya waayyaman amineen
Swahili
Na baina yao na miji mingine tuliyo ibariki tuliweka miji iliyo dhaahiri, na
tukaweka humo vituo vya safari. Tukawaambia: Nendeni humo usiku na mchana kwa
amani.
|
Ayah 34:19 الأية
فَقَالُوا رَبَّنَا بَاعِدْ بَيْنَ أَسْفَارِنَا وَظَلَمُوا أَنفُسَهُمْ
فَجَعَلْنَاهُمْ أَحَادِيثَ وَمَزَّقْنَاهُمْ كُلَّ مُمَزَّقٍ ۚ إِنَّ فِي ذَٰلِكَ
لَآيَاتٍ لِّكُلِّ صَبَّارٍ شَكُورٍ
Faqaloo rabbana baAAidbayna asfarina wathalamoo anfusahumfajaAAalnahum ahadeetha
wamazzaqnahum kullamumazzaqin inna fee thalika laayatin likullisabbarin shakoor
Swahili
Lakini wakasema: Mola wetu Mlezi! Weka mwendo mrefu baina ya safari zetu. Na
wakazidhulumu nafsi zao. Basi tukawafanya ni masimulizi tu, na tukawatawanya
tawanya. Hakika katika hayo bila ya shaka zimo Ishara kwa kila mwenye kusubiri
sana na akashukuru.
|
Ayah 34:20 الأية
وَلَقَدْ صَدَّقَ عَلَيْهِمْ إِبْلِيسُ ظَنَّهُ فَاتَّبَعُوهُ إِلَّا فَرِيقًا
مِّنَ الْمُؤْمِنِينَ
Walaqad saddaqa AAalayhim ibleesu thannahufattabaAAoohu illa fareeqan mina
almu/mineen
Swahili
Na bila ya shaka Iblisi alihakikisha ile dhana yake juu yao. Nao walimfuata,
isipo kuwa kundi la Waumini.
|
Ayah 34:21 الأية
وَمَا كَانَ لَهُ عَلَيْهِم مِّن سُلْطَانٍ إِلَّا لِنَعْلَمَ مَن يُؤْمِنُ
بِالْآخِرَةِ مِمَّنْ هُوَ مِنْهَا فِي شَكٍّ ۗ وَرَبُّكَ عَلَىٰ كُلِّ شَيْءٍ
حَفِيظٌ
Wama kana lahu AAalayhim minsultanin illa linaAAlama man yu/minu
bil-akhiratimimman huwa minha fee shakkin warabbuka AAala kullishay-in hafeeth
Swahili
Na yeye hakuwa na mamlaka yoyote juu yao, ila kwa sababu ya kuwajaribu tujue
nani mwenye kuamini Akhera, na nani anaye tilia shaka. Na Mola wako Mlezi ni
Mwenye kuhifadhi kila kitu.
|
Ayah 34:22 الأية
قُلِ ادْعُوا الَّذِينَ زَعَمْتُم مِّن دُونِ اللَّهِ ۖ لَا يَمْلِكُونَ مِثْقَالَ
ذَرَّةٍ فِي السَّمَاوَاتِ وَلَا فِي الْأَرْضِ وَمَا لَهُمْ فِيهِمَا مِن شِرْكٍ
وَمَا لَهُ مِنْهُم مِّن ظَهِيرٍ
Quli odAAoo allatheena zaAAamtum mindooni Allahi la yamlikoona mithqala
tharratinfee assamawati wala fee al-ardiwama lahum feehima min shirkin wama
lahuminhum min thaheer
Swahili
Sema: Waite mnao wadaia kuwa ni badala ya Mwenyezi Mungu. Hawamiliki hata uzito
wa chembe hichi katika mbingu wala ardhi. Wala hawana ushirika wowote humo. Wala
Yeye hana msaidizi miongoni mwao.
|
Ayah 34:23 الأية
وَلَا تَنفَعُ الشَّفَاعَةُ عِندَهُ إِلَّا لِمَنْ أَذِنَ لَهُ ۚ حَتَّىٰ إِذَا
فُزِّعَ عَن قُلُوبِهِمْ قَالُوا مَاذَا قَالَ رَبُّكُمْ ۖ قَالُوا الْحَقَّ ۖ
وَهُوَ الْعَلِيُّ الْكَبِيرُ
Wala tanfaAAu ashshafaAAatuAAindahu illa liman athina lahu hattaitha fuzziAAa
AAan quloobihim qaloo matha qalarabbukum qaloo alhaqqa wahuwa alAAaliyyu
alkabeer
Swahili
Wala uombezi mbele yake hautafaa kitu, isipo kuwa kwa aliye mpa idhini. Hata
itapo ondolewa khofu kwenye nyoyo zao watasema: Mola wenu Mlezi kasema nini?
Watasema: Yaliyo kweli! Na Yeye ndiye Aliye juu, Mkubwa.
|
Ayah 34:24 الأية
قُلْ مَن يَرْزُقُكُم مِّنَ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ ۖ قُلِ اللَّهُ ۖ وَإِنَّا
أَوْ إِيَّاكُمْ لَعَلَىٰ هُدًى أَوْ فِي ضَلَالٍ مُّبِينٍ
Qul man yarzuqukum mina assamawatiwal-ardi quli Allahu wa-inna aw iyyakumlaAAala
hudan aw fee dalalin mubeen
Swahili
Sema: Ni nani anaye kuruzukuni kutoka mbinguni na kwenye ardhi? Sema: Mwenyezi
Mungu! Na hakika sisi au nyinyi bila ya shaka tuko kwenye uwongofu au upotofu
ulio wazi.
|
Ayah 34:25 الأية
قُل لَّا تُسْأَلُونَ عَمَّا أَجْرَمْنَا وَلَا نُسْأَلُ عَمَّا تَعْمَلُونَ
Qul la tus-aloona AAammaajramna wala nus-alu AAamma taAAmaloon
Swahili
Sema: Nyinyi hamtaulizwa kwa makosa tuliyo yafanya, wala sisi hatutaulizwa kwa
mnayo yatenda nyinyi.
|
Ayah 34:26 الأية
قُلْ يَجْمَعُ بَيْنَنَا رَبُّنَا ثُمَّ يَفْتَحُ بَيْنَنَا بِالْحَقِّ وَهُوَ
الْفَتَّاحُ الْعَلِيمُ
Qul yajmaAAu baynana rabbunathumma yaftahu baynana bilhaqqiwahuwa alfattahu
alAAaleem
Swahili
Sema: Mola wetu Mlezi atatukusanya, kisha atatuhukumu kwa haki; na Yeye ndiye
Hakimu Mwenye kujua.
|
Ayah 34:27 الأية
قُلْ أَرُونِيَ الَّذِينَ أَلْحَقْتُم بِهِ شُرَكَاءَ ۖ كَلَّا ۚ بَلْ هُوَ اللَّهُ
الْعَزِيزُ الْحَكِيمُ
Qul arooniya allatheena alhaqtumbihi shurakaa kalla bal huwa AllahualAAazeezu
alhakeem
Swahili
Sema: Nionyesheni mlio waunganisha naye kuwa washirika. Hasha! Bali Yeye ndiye
Mwenyezi Mungu Mwenye nguvu, Mwenye hikima.
|
Ayah 34:28 الأية
وَمَا أَرْسَلْنَاكَ إِلَّا كَافَّةً لِّلنَّاسِ بَشِيرًا وَنَذِيرًا وَلَٰكِنَّ
أَكْثَرَ النَّاسِ لَا يَعْلَمُونَ
Wama arsalnaka illa kaffatanlinnasi basheeran wanatheeran walakinnaakthara
annasi la yaAAlamoon
Swahili
Na hatukukutuma ila kwa watu wote, uwe mbashiri, na mwonyaji. Lakini watu wengi
hawajui.
|
Ayah 34:29 الأية
وَيَقُولُونَ مَتَىٰ هَٰذَا الْوَعْدُ إِن كُنتُمْ صَادِقِينَ
Wayaqooloona mata hathaalwaAAdu in kuntum sadiqeen
Swahili
Na wanasema: Ahadi hii itakuwa lini, ikiwa nyinyi mnasema kweli?
|
Ayah 34:30 الأية
قُل لَّكُم مِّيعَادُ يَوْمٍ لَّا تَسْتَأْخِرُونَ عَنْهُ سَاعَةً وَلَا
تَسْتَقْدِمُونَ
Qul lakum meeAAadu yawmin latasta/khiroona AAanhu saAAatan wala tastaqdimoon
Swahili
Sema: Nyinyi mnayo miadi ya Siku ambayo hamtaakhirika nayo kwa saa moja, wala
hamtaitangulia.
|
Ayah 34:31 الأية
وَقَالَ الَّذِينَ كَفَرُوا لَن نُّؤْمِنَ بِهَٰذَا الْقُرْآنِ وَلَا بِالَّذِي
بَيْنَ يَدَيْهِ ۗ وَلَوْ تَرَىٰ إِذِ الظَّالِمُونَ مَوْقُوفُونَ عِندَ رَبِّهِمْ
يَرْجِعُ بَعْضُهُمْ إِلَىٰ بَعْضٍ الْقَوْلَ يَقُولُ الَّذِينَ اسْتُضْعِفُوا
لِلَّذِينَ اسْتَكْبَرُوا لَوْلَا أَنتُمْ لَكُنَّا مُؤْمِنِينَ
Waqala allatheena kafaroo lannu/mina bihatha alqur-ani wala billatheebayna
yadayhi walaw tara ithi aththalimoonamawqoofoona AAinda rabbihim yarjiAAu
baAAduhum ilabaAAdin alqawla yaqoolu allatheena istudAAifoolillatheena
istakbaroo lawla antum lakunnamu/mineen
Swahili
Na walisema walio kufuru: Hatutaiamini Qur'ani hii, wala yaliyo kuwa kabla yake.
Na ungeli waona madhaalimu watapo simamishwa mbele ya Mola wao Mlezi,
wakirudishiana maneno wao kwa wao! Wanyonge wakiwaambia walio takabari: Lau kuwa
si nyinyi, bila ya shaka tungeli kuwa Waumini sisi.
|
Ayah 34:32 الأية
قَالَ الَّذِينَ اسْتَكْبَرُوا لِلَّذِينَ اسْتُضْعِفُوا أَنَحْنُ صَدَدْنَاكُمْ
عَنِ الْهُدَىٰ بَعْدَ إِذْ جَاءَكُم ۖ بَلْ كُنتُم مُّجْرِمِينَ
Qala allatheena istakbaroolillatheena istudAAifoo anahnu sadadnakumAAani alhuda
baAAda ith jaakum bal kuntummujrimeen
Swahili
Walio takabari watawaambia wanyonge: Kwani sisi ndio tulio kuzuieni na uwongofu
baada ya kukujieni? Bali nyinyi wenyewe ni wakosefu.
|
Ayah 34:33 الأية
وَقَالَ الَّذِينَ اسْتُضْعِفُوا لِلَّذِينَ اسْتَكْبَرُوا بَلْ مَكْرُ اللَّيْلِ
وَالنَّهَارِ إِذْ تَأْمُرُونَنَا أَن نَّكْفُرَ بِاللَّهِ وَنَجْعَلَ لَهُ
أَندَادًا ۚ وَأَسَرُّوا النَّدَامَةَ لَمَّا رَأَوُا الْعَذَابَ وَجَعَلْنَا
الْأَغْلَالَ فِي أَعْنَاقِ الَّذِينَ كَفَرُوا ۚ هَلْ يُجْزَوْنَ إِلَّا مَا
كَانُوا يَعْمَلُونَ
Waqala allatheena istudAAifoolillatheena istakbaroo bal makru allayli
wannahariith ta/muroonana an nakfura billahiwanajAAala lahu andadan waasarroo
annadamatalamma raawoo alAAathaba wajaAAalna al-aghlalafee aAAnaqi allatheena
kafaroo hal yujzawna illama kanoo yaAAmaloon
Swahili
Na wanyonge wakawaambia walio takabari: Bali ni vitimbi vyenu vya usiku na
mchana, mlipo kuwa mkituamrisha tumkufuru Mwenyezi Mungu, na tumfanyie
washirika. Nao wataficha majuto watakapo iona adhabu. Na tutaweka makongwa
shingoni mwao walio kufuru. Kwani wanalipwa ila kwa waliyo kuwa wakiyatenda?
|
Ayah 34:34 الأية
وَمَا أَرْسَلْنَا فِي قَرْيَةٍ مِّن نَّذِيرٍ إِلَّا قَالَ مُتْرَفُوهَا إِنَّا
بِمَا أُرْسِلْتُم بِهِ كَافِرُونَ
Wama arsalna fee qaryatin minnatheerin illa qala mutrafooha innabima orsiltum
bihi kafiroon
Swahili
Na hatukumtuma mwonyaji yeyote kwenye mji, ila walisema walio jidekeza kwa
starehe zao wa mji huo: Hakika sisi tunayakataa hayo mliyo tumwa nayo.
|
Ayah 34:35 الأية
وَقَالُوا نَحْنُ أَكْثَرُ أَمْوَالًا وَأَوْلَادًا وَمَا نَحْنُ بِمُعَذَّبِينَ
Waqaloo nahnu aktharu amwalanwaawladan wama nahnu bimuAAaththabeen
Swahili
Na wakasema: Sisi tuna mali mengi zaidi na watoto, wala sisi hatutaadhibiwa.
|
Ayah 34:36 الأية
قُلْ إِنَّ رَبِّي يَبْسُطُ الرِّزْقَ لِمَن يَشَاءُ وَيَقْدِرُ وَلَٰكِنَّ
أَكْثَرَ النَّاسِ لَا يَعْلَمُونَ
Qul inna rabbee yabsutu arrizqaliman yashao wayaqdiru walakinna akthara annasila
yaAAlamoon
Swahili
Sema: Hakika Mola wangu Mlezi humkunjulia riziki na humdhikisha amtakaye. Lakini
watu wengi hawajui.
|
Ayah 34:37 الأية
وَمَا أَمْوَالُكُمْ وَلَا أَوْلَادُكُم بِالَّتِي تُقَرِّبُكُمْ عِندَنَا زُلْفَىٰ
إِلَّا مَنْ آمَنَ وَعَمِلَ صَالِحًا فَأُولَٰئِكَ لَهُمْ جَزَاءُ الضِّعْفِ بِمَا
عَمِلُوا وَهُمْ فِي الْغُرُفَاتِ آمِنُونَ
Wama amwalukum wala awladukumbillatee tuqarribukum AAindana zulfa illaman amana
waAAamila salihan faola-ikalahum jazao addiAAfi bima AAamiloowahum fee
alghurufati aminoon
Swahili
Na si mali yenu wala watoto wenu watakao kukaribisheni kwetu muwe karibu, isipo
kuwa aliye amini na akatenda mema. Hao basi watapata malipo mardufu kwa walio
yafanya. Nao watakuwa salama katika maghorofa.
|
Ayah 34:38 الأية
وَالَّذِينَ يَسْعَوْنَ فِي آيَاتِنَا مُعَاجِزِينَ أُولَٰئِكَ فِي الْعَذَابِ
مُحْضَرُونَ
Wallatheena yasAAawna fee ayatinamuAAajizeena ola-ika fee alAAathabi muhdaroon
Swahili
Na wanao jitahidi kuzipinga Ishara zetu, wakaona watashinda, hao watahudhurishwa
kwenye adhabu.
|
Ayah 34:39 الأية
قُلْ إِنَّ رَبِّي يَبْسُطُ الرِّزْقَ لِمَن يَشَاءُ مِنْ عِبَادِهِ وَيَقْدِرُ
لَهُ ۚ وَمَا أَنفَقْتُم مِّن شَيْءٍ فَهُوَ يُخْلِفُهُ ۖ وَهُوَ خَيْرُ
الرَّازِقِينَ
Qul inna rabbee yabsutu arrizqaliman yashao min AAibadihi wayaqdiru lahu
wamaanfaqtum min shay-in fahuwa yukhlifuhu wahuwa khayru arraziqeen
Swahili
Sema: Kwa hakika Mola wangu Mlezi humkunjulia riziki na humdhikisha amtakaye
katika waja wake. Na chochote mtakacho kitoa Yeye atakilipa. Naye ni Mbora wa
wanao ruzuku.
|
Ayah 34:40 الأية
وَيَوْمَ يَحْشُرُهُمْ جَمِيعًا ثُمَّ يَقُولُ لِلْمَلَائِكَةِ أَهَٰؤُلَاءِ
إِيَّاكُمْ كَانُوا يَعْبُدُونَ
Wayawma yahshuruhum jameeAAan thummayaqoolu lilmala-ikati ahaola-i iyyakumkanoo
yaAAbudoon
Swahili
Na siku atakayo wakusanya wote, kisha atawaambia Malaika: Je! Hawa walikuwa
wakikuabuduni?
|
Ayah 34:41 الأية
قَالُوا سُبْحَانَكَ أَنتَ وَلِيُّنَا مِن دُونِهِم ۖ بَلْ كَانُوا يَعْبُدُونَ
الْجِنَّ ۖ أَكْثَرُهُم بِهِم مُّؤْمِنُونَ
Qaloo subhanaka anta waliyyunamin doonihim bal kanoo yaAAbudoona aljinna
aktharuhumbihim mu/minoon
Swahili
Waseme: Subhanak, Umetakasika. Wewe ndiye kipenzi chetu si hao. Bali wao
walikuwa wakiwaabudu majini; wengi wao wakiwaamini hao.
|
Ayah 34:42 الأية
فَالْيَوْمَ لَا يَمْلِكُ بَعْضُكُمْ لِبَعْضٍ نَّفْعًا وَلَا ضَرًّا وَنَقُولُ
لِلَّذِينَ ظَلَمُوا ذُوقُوا عَذَابَ النَّارِ الَّتِي كُنتُم بِهَا تُكَذِّبُونَ
Falyawma la yamliku baAAdukumlibaAAdin nafAAan wala darran wanaqoolulillatheena
thalamoo thooqoo AAathabaannari allatee kuntum biha tukaththiboon
Swahili
Hii leo hataweza yeyote kumletea nafuu wala madhara mwenzie. Na tutawaambia
walio dhulumu: Onjeni adhabu ya Moto mlio kuwa mkiukanusha.
|
Ayah 34:43 الأية
وَإِذَا تُتْلَىٰ عَلَيْهِمْ آيَاتُنَا بَيِّنَاتٍ قَالُوا مَا هَٰذَا إِلَّا
رَجُلٌ يُرِيدُ أَن يَصُدَّكُمْ عَمَّا كَانَ يَعْبُدُ آبَاؤُكُمْ وَقَالُوا مَا
هَٰذَا إِلَّا إِفْكٌ مُّفْتَرًى ۚ وَقَالَ الَّذِينَ كَفَرُوا لِلْحَقِّ لَمَّا
جَاءَهُمْ إِنْ هَٰذَا إِلَّا سِحْرٌ مُّبِينٌ
Wa-itha tutla AAalayhim ayatunabayyinatin qaloo ma hatha illarajulun yureedu an
yasuddakum AAamma kanayaAAbudu abaokum waqaloo ma hathailla ifkun muftaran
waqala allatheenakafaroo lilhaqqi lamma jaahum in hathailla sihrun mubeen
Swahili
Na wanapo somewa Aya zetu zilizo wazi wanasema: Huyu si chochote ila ni mtu
anaye taka kukuzuieni na waliyo kuwa wakiabudu baba zenu. Na wakasema: Haya si
chochote ila ni uwongo ulio zuliwa. Na walio kufuru waliiambia Haki ilipo wajia:
Haya si chochote ila ni uchawi ulio dhaahiri.
|
Ayah 34:44 الأية
وَمَا آتَيْنَاهُم مِّن كُتُبٍ يَدْرُسُونَهَا ۖ وَمَا أَرْسَلْنَا إِلَيْهِمْ
قَبْلَكَ مِن نَّذِيرٍ
Wama ataynahum minkutubin yadrusoonaha wama arsalna ilayhimqablaka min natheer
Swahili
Wala hatukuwapa Vitabu wavisome, wala hatukuwatumia Mwonyaji kabla yako wewe.
|
Ayah 34:45 الأية
وَكَذَّبَ الَّذِينَ مِن قَبْلِهِمْ وَمَا بَلَغُوا مِعْشَارَ مَا آتَيْنَاهُمْ
فَكَذَّبُوا رُسُلِي ۖ فَكَيْفَ كَانَ نَكِيرِ
Wakaththaba allatheena minqablihim wama balaghoo miAAshara ma
ataynahumfakaththaboo rusulee fakayfa kana nakeer
Swahili
Na walikadhibisha walio kuwa kabla yao. Na hawakufikilia hata sehemu moja katika
kumi ya tulivyo wapa hao. Nao waliwakadhibisha Mitume wangu. Basi kuangamiza
kwangu kulikuwa namna gani!
|
Ayah 34:46 الأية
قُلْ إِنَّمَا أَعِظُكُم بِوَاحِدَةٍ ۖ أَن تَقُومُوا لِلَّهِ مَثْنَىٰ وَفُرَادَىٰ
ثُمَّ تَتَفَكَّرُوا ۚ مَا بِصَاحِبِكُم مِّن جِنَّةٍ ۚ إِنْ هُوَ إِلَّا نَذِيرٌ
لَّكُم بَيْنَ يَدَيْ عَذَابٍ شَدِيدٍ
Qul innama aAAithukumbiwahidatin an taqoomoo lillahi mathna wafuradathumma
tatafakkaroo ma bisahibikum min jinnatin inhuwa illa natheerun lakum bayna yaday
AAathabinshadeed
Swahili
Sema: Mimi nakunasihini kwa jambo moja tu - ya kwamba msimame kwa ajili ya
Mwenyezi Mungu, wawili-wawili na mmoja-mmoja; kisha mfikiri. Mwenzenu huyu hana
wazimu. Yeye si chochote ila ni Mwonyaji kwenu kabla ya kufika adhabu kali.
|
Ayah 34:47 الأية
قُلْ مَا سَأَلْتُكُم مِّنْ أَجْرٍ فَهُوَ لَكُمْ ۖ إِنْ أَجْرِيَ إِلَّا عَلَى
اللَّهِ ۖ وَهُوَ عَلَىٰ كُلِّ شَيْءٍ شَهِيدٌ
Qul ma saaltukum min ajrin fahuwalakum in ajriya illa AAala Allahi wahuwaAAala
kulli shay-in shaheed
Swahili
Sema: Ujira nilio kuombeni ni wenu nyinyi. Sina ujira ila kwa Mwenyezi Mungu. Na
Yeye ni Shahidi juu ya kila kitu.
|
Ayah 34:48 الأية
قُلْ إِنَّ رَبِّي يَقْذِفُ بِالْحَقِّ عَلَّامُ الْغُيُوبِ
Qul inna rabbee yaqthifu bilhaqqiAAallamu alghuyoob
Swahili
Sema: Hakika Mola wangu Mlezi anaondoa upotovu kwa Haki. Yeye ndiye Mwenye kujua
vyema yaliyo ghaibu.
|
Ayah 34:49 الأية
قُلْ جَاءَ الْحَقُّ وَمَا يُبْدِئُ الْبَاطِلُ وَمَا يُعِيدُ
Qul jaa alhaqqu wamayubdi-o albatilu wama yuAAeed
Swahili
Sema: Kweli imefika, na uwongo haujitokezi, wala haurudi.
|
Ayah 34:50 الأية
قُلْ إِن ضَلَلْتُ فَإِنَّمَا أَضِلُّ عَلَىٰ نَفْسِي ۖ وَإِنِ اهْتَدَيْتُ فَبِمَا
يُوحِي إِلَيَّ رَبِّي ۚ إِنَّهُ سَمِيعٌ قَرِيبٌ
Qul in dalaltu fa-innama adilluAAala nafsee wa-ini ihtadaytu fabima yooheeilayya
rabbee innahu sameeAAun qareeb
Swahili
Sema: Ikiwa mimi nimepotea, basi nimepotea kwa kudhuru nafsi yangu mwenyewe. Na
ikiwa nimeongoka, basi ni kwa sababu ya kunifunulia Mola wangu Mlezi. Hakika
Yeye ni Mwenye kusikia, Aliye karibu.
|
Ayah 34:51 الأية
وَلَوْ تَرَىٰ إِذْ فَزِعُوا فَلَا فَوْتَ وَأُخِذُوا مِن مَّكَانٍ قَرِيبٍ
Walaw tara ith faziAAoo falafawta waokhithoo min makanin qareeb
Swahili
Na lau ungeli ona watapo babaika, basi hapana pa kukimbilia! Na watakamatwa
mahala pa karibu.
|
Ayah 34:52 الأية
وَقَالُوا آمَنَّا بِهِ وَأَنَّىٰ لَهُمُ التَّنَاوُشُ مِن مَّكَانٍ بَعِيدٍ
Waqaloo amanna bihiwaanna lahumu attanawushu min makaninbaAAeed
Swahili
Na watasema: Tunaiamini! Lakini wataipata wapi kutoka huko mahala mbali?
|
Ayah 34:53 الأية
وَقَدْ كَفَرُوا بِهِ مِن قَبْلُ ۖ وَيَقْذِفُونَ بِالْغَيْبِ مِن مَّكَانٍ بَعِيدٍ
Waqad kafaroo bihi min qablu wayaqthifoonabilghaybi min makanin baAAeed
Swahili
Na hapo kabla yake waliikataa, na wakiyatupilia mbali maneno ya ghaibu kutoka
mahali mbali.
|
Ayah 34:54 الأية
وَحِيلَ بَيْنَهُمْ وَبَيْنَ مَا يَشْتَهُونَ كَمَا فُعِلَ بِأَشْيَاعِهِم مِّن
قَبْلُ ۚ إِنَّهُمْ كَانُوا فِي شَكٍّ مُّرِيبٍ
Waheela baynahum wabayna mayashtahoona kama fuAAila bi-ashyaAAihim min
qabluinnahum kanoo fee shakkin mureeb
Swahili
Na watatiliwa kizuizi baina yao na hayo wanayo yatamani, kama walivyo fanyiwa
wenzao zamani. Hakika hao walikuwa na shaka ya kutia wasiwasi.
|
©
EsinIslam.Com Designed & produced by The Awqaf London. Please pray for us
|