First Ayah 1 الأية الأوليبِسْم ِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ
قُلْ أُوحِيَ إِلَيَّ أَنَّهُ اسْتَمَعَ نَفَرٌ مِّنَ الْجِنِّ فَقَالُوا إِنَّا
سَمِعْنَا قُرْآنًا عَجَبًا
Qul oohiya ilayya annahu istamaAAanafarun mina aljinni faqaloo inna
samiAAnaqur-anan AAajaba
Swahili
Sema: Imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini lilisikiliza, na likasema:
Hakika sisi tumeisikia Qur'ani ya ajabu!
|
Ayah 72:2 الأية
يَهْدِي إِلَى الرُّشْدِ فَآمَنَّا بِهِ ۖ وَلَن نُّشْرِكَ بِرَبِّنَا أَحَدًا
Yahdee ila arrushdi faamannabihi walan nushrika birabbina ahada
Swahili
Inaongoza kwenye uwongofu, kwa hivyo tumeiamini, wala hatutamshirikisha yeyote
na Mola wetu Mlezi.
|
Ayah 72:3 الأية
وَأَنَّهُ تَعَالَىٰ جَدُّ رَبِّنَا مَا اتَّخَذَ صَاحِبَةً وَلَا وَلَدًا
Waannahu taAAala jaddu rabbinama ittakhatha sahibatan wala walada
Swahili
Na kwa hakika utukufu wa Mola wetu Mlezi umetukuka kabisa; hana mke wala mwana.
|
Ayah 72:4 الأية
وَأَنَّهُ كَانَ يَقُولُ سَفِيهُنَا عَلَى اللَّهِ شَطَطًا
Waannahu kana yaqoolu safeehunaAAala Allahi shatata
Swahili
Na kwa hakika wapumbavu miongoni mwetu walikuwa wakisema uwongo ulio pindukia
mipaka juu ya Mwenyezi Mungu.
|
Ayah 72:5 الأية
وَأَنَّا ظَنَنَّا أَن لَّن تَقُولَ الْإِنسُ وَالْجِنُّ عَلَى اللَّهِ كَذِبًا
Waanna thanannaan lan taqoola al-insu waljinnu AAala Allahikathiba
Swahili
Nasi tulidhani kuwa watu na majini hawamzulii uwongo Mwenyezi Mungu.
|
Ayah 72:6 الأية
وَأَنَّهُ كَانَ رِجَالٌ مِّنَ الْإِنسِ يَعُوذُونَ بِرِجَالٍ مِّنَ الْجِنِّ
فَزَادُوهُمْ رَهَقًا
Waannahu kana rijalun minaal-insi yaAAoothoona birijalin mina aljinni
fazadoohumrahaqa
Swahili
Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa
wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi.
|
Ayah 72:7 الأية
وَأَنَّهُمْ ظَنُّوا كَمَا ظَنَنتُمْ أَن لَّن يَبْعَثَ اللَّهُ أَحَدًا
Waannahum thannoo kama thanantuman lan yabAAatha Allahu ahada
Swahili
Na kwa hakika wao walidhani, kama mlivyo dhani nyinyi, ya kuwa Mwenyezi Mungu
hatamleta Mtume.
|
Ayah 72:8 الأية
وَأَنَّا لَمَسْنَا السَّمَاءَ فَوَجَدْنَاهَا مُلِئَتْ حَرَسًا شَدِيدًا وَشُهُبًا
Waanna lamasna assamaafawajadnaha muli-at harasan shadeedanwashuhuba
Swahili
Nasi tulizigusa mbingu, na tukaziona zimejaa walinzi wenye nguvu na vimondo.
|
Ayah 72:9 الأية
وَأَنَّا كُنَّا نَقْعُدُ مِنْهَا مَقَاعِدَ لِلسَّمْعِ ۖ فَمَن يَسْتَمِعِ الْآنَ
يَجِدْ لَهُ شِهَابًا رَّصَدًا
Waanna kunna naqAAudu minhamaqaAAida lissamAAi faman yastamiAAi al-anayajid lahu
shihaban rasada
Swahili
Na hakika tulikuwa tukikaa humo katika baadhi ya makao ili kusikiliza; lakini
sasa anaye taka kusikiliza atakuta kimondo kinamvizia!
|
Ayah 72:10 الأية
وَأَنَّا لَا نَدْرِي أَشَرٌّ أُرِيدَ بِمَن فِي الْأَرْضِ أَمْ أَرَادَ بِهِمْ
رَبُّهُمْ رَشَدًا
Waanna la nadree asharrunoreeda biman fee al-ardi am arada bihim rabbuhumrashada
Swahili
Nasi hatujui kama wanatakiwa shari wale wanao kaa kwenye ardhi au Mola wao Mlezi
anawatakia uwongofu.
|
Ayah 72:11 الأية
وَأَنَّا مِنَّا الصَّالِحُونَ وَمِنَّا دُونَ ذَٰلِكَ ۖ كُنَّا طَرَائِقَ قِدَدًا
Waanna minna assalihoonawaminna doona thalika kunna tara-iqaqidada
Swahili
Na hakika katika sisi wamo walio wema, na wengine wetu ni kinyume na hivyo.
Tumekuwa njia mbali mbali.
|
Ayah 72:12 الأية
وَأَنَّا ظَنَنَّا أَن لَّن نُّعْجِزَ اللَّهَ فِي الْأَرْضِ وَلَن نُّعْجِزَهُ
هَرَبًا
Wanna thanannaan lan nuAAjiza Allaha fee al-ardi walan nuAAjizahuharaba
Swahili
Nasi tulijua kuwa hatutomshinda Mwenyezi Mungu duniani, wala hatuwezi kumponyoka
kwa kukimbia.
|
Ayah 72:13 الأية
وَأَنَّا لَمَّا سَمِعْنَا الْهُدَىٰ آمَنَّا بِهِ ۖ فَمَن يُؤْمِن بِرَبِّهِ فَلَا
يَخَافُ بَخْسًا وَلَا رَهَقًا
Waanna lamma samiAAnaalhuda amanna bihi faman yu/min birabbihifala yakhafu
bakhsan wala rahaqa
Swahili
Nasi tulipo usikia uwongofu tuliuamini. Basi mwenye kumuamini Mola wake Mlezi
basi haogopi kupunjwa wala kudhulumiwa.
|
Ayah 72:14 الأية
وَأَنَّا مِنَّا الْمُسْلِمُونَ وَمِنَّا الْقَاسِطُونَ ۖ فَمَنْ أَسْلَمَ
فَأُولَٰئِكَ تَحَرَّوْا رَشَدًا
Waanna minna almuslimoonawaminna alqasitoona faman aslama faola-ikataharraw
rashada
Swahili
Na hakika wamo katika sisi Waislamu, na wamo kati yetu wanao acha haki. Basi
walio silimu, hao ndio walio tafuta uwongofu.
|
Ayah 72:15 الأية
وَأَمَّا الْقَاسِطُونَ فَكَانُوا لِجَهَنَّمَ حَطَبًا
Waama alqasitoona fakanoolijahannama hataba
Swahili
Na ama wanao acha haki, hao watakuwa kuni za Jahannamu.
|
Ayah 72:16 الأية
وَأَن لَّوِ اسْتَقَامُوا عَلَى الطَّرِيقَةِ لَأَسْقَيْنَاهُم مَّاءً غَدَقًا
Waallawi istaqamoo AAala attareeqatilaasqaynahum maan ghadaqa
Swahili
Na lau kama wangeli simama sawasawa juu ya njia tungeli wanywesha maji kwa
wingi,
|
Ayah 72:17 الأية
لِّنَفْتِنَهُمْ فِيهِ ۚ وَمَن يُعْرِضْ عَن ذِكْرِ رَبِّهِ يَسْلُكْهُ عَذَابًا
صَعَدًا
Linaftinahum feehi waman yuAArid AAanthikri rabbihi yasluk-hu AAathaban saAAada
Swahili
Ili tuwajaribu kwa hayo. Na anaye puuza kumkumbuka Mola wake Mlezi atamsukuma
kwenye adhabu ngumu.
|
Ayah 72:18 الأية
وَأَنَّ الْمَسَاجِدَ لِلَّهِ فَلَا تَدْعُوا مَعَ اللَّهِ أَحَدًا
Waanna almasajida lillahi falatadAAoo maAAa Allahi ahada
Swahili
Na hakika misikiti ni ya Mwenyezi Mungu, basi msimuabudu yeyote pamoja na
Mwenyezi Mungu.
|
Ayah 72:19 الأية
وَأَنَّهُ لَمَّا قَامَ عَبْدُ اللَّهِ يَدْعُوهُ كَادُوا يَكُونُونَ عَلَيْهِ
لِبَدًا
Waannahu lamma qama AAabdu AllahiyadAAoohu kadoo yakoonoona AAalayhi libada
Swahili
Na hakika Mja wa Mwenyezi Mungu alipo simama kumwomba, wao walikuwa karibu
kumzonga!
|
Ayah 72:20 الأية
قُلْ إِنَّمَا أَدْعُو رَبِّي وَلَا أُشْرِكُ بِهِ أَحَدًا
Qul innama adAAoo rabbee walaoshriku bihi ahada
Swahili
Sema: Hakika mimi namwomba Mola wangu Mlezi, wala simshirikishi Yeye na yeyote.
|
Ayah 72:21 الأية
قُلْ إِنِّي لَا أَمْلِكُ لَكُمْ ضَرًّا وَلَا رَشَدًا
Qul innee la amliku lakum darranwala rashada
Swahili
Sema: Mimi sina mamlaka ya kukudhuruni wala kukuongozeni.
|
Ayah 72:22 الأية
قُلْ إِنِّي لَن يُجِيرَنِي مِنَ اللَّهِ أَحَدٌ وَلَنْ أَجِدَ مِن دُونِهِ
مُلْتَحَدًا
Qul innee lan yujeeranee mina Allahiahadun walan ajida min doonihi multahada
Swahili
Sema: Hakika hapana yeyote awezae kunilinda na Mwenyezi Mungu, wala sitapata pa
kukimbilia isipo kuwa kwake Yeye tu.
|
Ayah 72:23 الأية
إِلَّا بَلَاغًا مِّنَ اللَّهِ وَرِسَالَاتِهِ ۚ وَمَن يَعْصِ اللَّهَ وَرَسُولَهُ
فَإِنَّ لَهُ نَارَ جَهَنَّمَ خَالِدِينَ فِيهَا أَبَدًا
Illa balaghan mina Allahiwarisalatihi waman yaAAsi Allahawarasoolahu fa-inna
lahu nara jahannama khalideenafeeha abada
Swahili
Ila nifikishe Ujumbe utokao kwa Mwenyezi Mungu na risala zake. Na wenye kumuasi
Mwenyezi Mungu na Mtume wake, basi hakika hao watapata Moto wa Jahannamu wadumu
humo milele.
|
Ayah 72:24 الأية
حَتَّىٰ إِذَا رَأَوْا مَا يُوعَدُونَ فَسَيَعْلَمُونَ مَنْ أَضْعَفُ نَاصِرًا
وَأَقَلُّ عَدَدًا
Hatta itha raaw mayooAAadoona fasayaAAlamoona man adAAafu nasiranwaaqallu
AAadada
Swahili
Hata watakapo yaona wanayo ahidiwa, ndipo watakapo jua ni nani mwenye msaidizi
dhaifu, na mchache wa idadi.
|
Ayah 72:25 الأية
قُلْ إِنْ أَدْرِي أَقَرِيبٌ مَّا تُوعَدُونَ أَمْ يَجْعَلُ لَهُ رَبِّي أَمَدًا
Qul in adree aqareebun ma tooAAadoonaam yajAAalu lahu rabbee amada
Swahili
Sema: Sijui kama yapo karibu hayo mnayo ahidiwa, au Mola wangu Mlezi atayawekea
muda mrefu.
|
Ayah 72:26 الأية
عَالِمُ الْغَيْبِ فَلَا يُظْهِرُ عَلَىٰ غَيْبِهِ أَحَدًا
AAalimu alghaybi fala yuthhiruAAala ghaybihi ahada
Swahili
Yeye ndiye Mwenye kujua ya siri, wala hamdhihirishii yeyote siri yake,
|
Ayah 72:27 الأية
إِلَّا مَنِ ارْتَضَىٰ مِن رَّسُولٍ فَإِنَّهُ يَسْلُكُ مِن بَيْنِ يَدَيْهِ وَمِنْ
خَلْفِهِ رَصَدًا
Illa mani irtada min rasoolinfa-innahu yasluku min bayni yadayhi wamin khalfihi
rasada
Swahili
Isipo kuwa Mtume wake aliye mridhia. Naye huyo humwekea walinzi mbele yake na
nyuma yake.
|
Ayah 72:28 الأية
لِّيَعْلَمَ أَن قَدْ أَبْلَغُوا رِسَالَاتِ رَبِّهِمْ وَأَحَاطَ بِمَا لَدَيْهِمْ
وَأَحْصَىٰ كُلَّ شَيْءٍ عَدَدًا
LiyaAAlama an qad ablaghoo risalatirabbihim waahata bima ladayhim waahsa
kullashay-in AAadada
Swahili
Ili Yeye ajue kwamba wao wamefikisha ujumbe wa Mola wao Mlezi, na Yeye anayajua
vyema yote walio nayo, na amedhibiti idadi ya kila kitu.
|
©
EsinIslam.Com Designed & produced by The Awqaf London. Please pray for us
|