Prev
87. Surah Al-A'lââ سورة الأعلى
Next
1st Ayah 1 الأية ١الأوليبِسْم ِ اللهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ
سَبِّحِ اسْمَ رَبِّكَ الْأَعْلَى
Sabbihi isma rabbika al-aAAla
Swahili
Litakase jina la Mola wako Mlezi aliye juu kabisa,
|
Ayah 87:2 الأية
الَّذِي خَلَقَ فَسَوَّىٰ
Allathee khalaqa fasawwa
Swahili
Aliye umba, na akaweka sawa,
|
Ayah 87:3 الأية
وَالَّذِي قَدَّرَ فَهَدَىٰ
Wallathee qaddara fahada
Swahili
Na ambaye amekadiria na akaongoa,
|
Ayah 87:4 الأية
وَالَّذِي أَخْرَجَ الْمَرْعَىٰ
Wallathee akhraja almarAAa
Swahili
Na aliye otesha malisho,
|
Ayah 87:5 الأية
فَجَعَلَهُ غُثَاءً أَحْوَىٰ
FajaAAalahu ghuthaan ahwa
Swahili
Kisha akayafanya makavu, meusi.
|
Ayah 87:6 الأية
سَنُقْرِئُكَ فَلَا تَنسَىٰ
Sanuqri-oka fala tansa
Swahili
Tutakusomesha wala hutasahau,
|
Ayah 87:7 الأية
إِلَّا مَا شَاءَ اللهُ ۚ إِنَّهُ يَعْلَمُ الْجَهْرَ وَمَا يَخْفَىٰ
Illa ma shaa Allahuinnahu yaAAlamu aljahra wama yakhfa
Swahili
Ila akipenda Mwenyezi Mungu. Hakika Yeye anayajua yaliyo dhaahiri na yaliyo
fichikana.
|
Ayah 87:8 الأية
وَنُيَسِّرُكَ لِلْيُسْرَىٰ
Wanuyassiruka lilyusra
Swahili
Na tutakusahilishia yawe mepesi.
|
Ayah 87:9 الأية
فَذَكِّرْ إِن نَّفَعَتِ الذِّكْرَىٰ
Fathakkir in nafaAAati aththikra
Swahili
Basi kumbusha, kama kukumbusha kunafaa.
|
Ayah 87:10 الأية
سَيَذَّكَّرُ مَن يَخْشَىٰ
Sayaththakkaru man yakhsha
Swahili
Atakumbuka mwenye kuogopa.
|
Ayah 87:11 الأية
وَيَتَجَنَّبُهَا الْأَشْقَى
Wayatajannabuha al-ashqa
Swahili
Na atajitenga mbali nayo mpotovu,
|
Ayah 87:12 الأية
الَّذِي يَصْلَى النَّارَ الْكُبْرَىٰ
Allathee yasla annaraalkubra
Swahili
Ambaye atauingia Moto mkubwa.
|
Ayah 87:13 الأية
ثُمَّ لَا يَمُوتُ فِيهَا وَلَا يَحْيَىٰ
Thumma la yamootu feeha walayahya
Swahili
Tena humo hatakufa wala hawi hai.
|
Ayah 87:14 الأية
قَدْ أَفْلَحَ مَن تَزَكَّىٰ
Qad aflaha man tazakka
Swahili
Hakika amekwisha fanikiwa aliye jitakasa.
|
Ayah 87:15 الأية
وَذَكَرَ اسْمَ رَبِّهِ فَصَلَّىٰ
Wathakara isma rabbihi fasalla
Swahili
Na akakumbuka jina la Mola wake Mlezi, na akasali.
|
Ayah 87:16 الأية
بَلْ تُؤْثِرُونَ الْحَيَاةَ الدُّنْيَا
Bal tu/thiroona alhayata addunya
Swahili
Lakini nyinyi mnakhiari maisha ya dunia!
|
Ayah 87:17 الأية
وَالْآخِرَةُ خَيْرٌ وَأَبْقَىٰ
Wal-akhiratu khayrun waabqa
Swahili
Na Akhera ni bora na yenye kudumu zaidi.
|
Ayah 87:18 الأية
إِنَّ هَٰذَا لَفِي الصُّحُفِ الْأُولَىٰ
Inna hatha lafee assuhufial-oola
Swahili
Hakika haya yamo katika Vitabu vya mwanzo,
|
Ayah 87:19 الأية
صُحُفِ إِبْرَاهِيمَ وَمُوسَىٰ
Suhufi ibraheema wamoosa
Swahili
Vitabu vya Ibrahimu na Musa.
|
©
EsinIslam.Com Designed & produced by The Awqaf London. Please pray for us
|
|