فَكَذَّبُوهُ فَعَقَرُوهَا فَدَمْدَمَ عَلَيْهِمْ رَبُّهُم بِذَنبِهِمْ فَسَوَّاهَا
Fakaththaboohu faAAaqaroohafadamdama AAalayhim rabbuhum bithanbihim fasawwaha
Swahili
Lakini walimkadhibisha na wakamchinja ngamia, kwa hivyo Mola wao Mlezi
aliwaangamiza kwa sababu ya dhambi zao na akawafuta kabisa.