Ingia
  Create an account
Ukarasa Yako
Ingia Kati
 
 
 
Kiswahili

- Ukurasa Kuu
- Kumi Juu
- Mada Mpya
- Salimisha Habari
- Tafuta
- Kiswahili Jukwaa
- Kiswahili Wanachama
- Tathmini
- Ujumbe wa Kibinafsi
- Tafiti
- Majarida
- Hadithi Archive
- Maudhui
- Viungo vya Wavuti
- Vipakuliwa
- Maswali ya Kawaida
- Tunapendekeze
- Orodha ya Kuingia


Kubwa Hadithi Ya Leo

Hakuna hadithi kubwa ya leo, bado. Jiunge Sasa!

Idadi Ya Habari Kwa Mzunguko


Maamuzi Ya Kufunga Ramadhan Na Kuabudu
[ Maamuzi Ya Kufunga Ramadhan Na Kuabudu ]

·Zichume Sifa Kumi Njema - Sifa Ya Saba - Wanaume Na Wanawake Watoao Sadaka
·Sha'abaan: Fadhila Zake Na Uzushi Wa Nisfu Sha'abaan - Nasiha Za Minas
·Matayarisho Ya Ramadhaan: Jitathmini Kabla Ya Ramadhaan
·Fadhila Za Swawm: Funga inamuokoa mtu kutokana na moto, Swawm ni kinga kutokana
·'Iyd Taratibu Na Shari'ah Zake: Ahkaamul-'Iyd (Shari'ah Kati

Nani Ni Online

Saa hii, kuna hatua ya baraza na wewe mwenyewe 2 Mgeni (wageni) na 3 mwanachama (s) ambayo juu ya Hatua.

Mwanachama (wanachama) pamoja na wanachama wa Awqaf. kuona ni nyingine mbunge (s) online na wewe click Kubonyeza Hapa

Tafuta
Lugha

Mabadiliko ya lugha mbalimbali::


Categories Menu

Hakuna bidhaa sasa hivi kwa ajili ya kuzuia hili.

Sanduku Kuingia

Utani

Siri

Hawana akaunti bado? Unaweza kujenga mmoja. Kama Mtumiaji aliyesajiliwa unaweza kuwa na baadhi ya faida kama meneja wa mandhari, comments Configuration na maoni post kwa jina yako.

Makala Ya Zamani

Monday, December 03
· Zichume Sifa Kumi Njema - Sifa Ya Saba - Wanaume Na Wanawake Watoao Sadaka
· Umuhimu Wa Kuchunga Wakati
· Zichume Sifa Kumi Njema - Sifa Ya Tisa - Wanaume Na Wanawake Wanojihifadhi Tupu
· Zichume Sifa Kumi Njema - Sifa Ya Kumi (Ya Mwisho) Wanaume Na Wanawake Wanaomdhu
· Tabia Za Mwenendo Wa Kiislamu
· Unavaa 'NIKE', Je, Unajua Maana Yake?
· Zichume Sifa Kumi Njema - Sifa Ya Kumi (Ya Mwisho) Wanaume Na Wanawake Wanaomdhu
· Msamaha Na Ujira Mkubwa Tutakaopata Baada Ya Kuzichuma Sifa Kumi Njema
Friday, June 29
· Sha'abaan: Fadhila Zake Na Uzushi Wa Nisfu Sha'abaan - Nasiha Za Minas
· Makatazo Ya Kishari'ah Kwa Wanawake - 5
· Matumizi Ya Kunufaisha Ya Habbat-sawdaa-3 (habba Soda - Chembe Nyeusi ) Sunnah -
· Matayarisho Ya Ramadhaan: Jitathmini Kabla Ya Ramadhaan
· Makatazo Ya Kishari’ah Kwa Wanawake - 4
· Yaliyokuwa Sunnah Na Bid'ah Katika Sherehe Za 'Iyd
· Makatazo Ya Kishari’ah Kwa Wanawake - 3
· Fadhila Za Swawm: Funga inamuokoa mtu kutokana na moto, Swawm ni kinga kutokana
· Makatazo Ya Kishari’ah Kwa Wanawake - 2
· Matumizi Ya Kunufaisha Ya Habbat-sawdaa-2 (habba Soda - Chembe Nyeusi ) Sunnah -
· 'Iyd Taratibu Na Shari'ah Zake: Ahkaamul-'Iyd (Shari'ah Kati
· Makatazo Ya Kishari’ah Kwa Wanawake - 1
· Matumizi Ya Kunufaisha Ya Habbat Sawdaa-1 (haba Soda - Chembe Nyeusi )
Thursday, May 10
· Ukweli Kuhusu Mazishi Ya Kiislamu
· Haki Hii Haki Gani Mbele Ya Allaah?
· Simulizi (Kisa) Ya Hijaab Ya Khawla: Maoni ya Hijaab
· Baada Ya Kuhamia Madiynah: Mwenendo Wa Mitume ('Alayhimus Salaam)
· Mtume (Swalla Llaahu ‘Alayhi Wa Sallam) Akiwa Madiynah
· Hukumu Za Janaazah
· Makosa Ya Msingi Yaliyomo Ndani Ya Katiba Ya Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Kwa
· Maovu Yanaofanyika Katika Sherehe Za ‘Arusi (Harusi)
· Isbaal – Vazi La Mwanamme Lenye Kuvuka Mafundo Ya Miguu (Uburuzaji Au Kuburura)
· Wasiya Wa Kishari'ah Wa Muislamu Kabla Hajafariki
· Fataawa Za Wanachuoni Kuhusu Mavazi Ya Mwanamke ‘Arusini Na Wanapokuwa Na Wanawa
· Maslahi Ya Jamii Ndani Ya Shari'ah
· Hijrah: Chanzo Cha Mageuzi
· Yampasayo Maiti
· Hijaab - Kuwajibika Kwake
· Kumtii Allaah Na Mtume Ni Njia Pekee Ya Uongofu
· Kauli Za Maimaam Wanne Kuhusu Kushikamana Na Sunnah Na Kuacha Kufuata Rai Zao
· Rudi Tena Ukaswali, Kwani Hukuswali Kwa jina la Allaah, Mwingi wa Rehma, Mwenye
· Kumpenda Mtume (SAW) Ni Kumtii Na Kumfuata
· Mwito Kutoka Masjidul-Haraam Kwa Wanawake Wote Waislamu Ulimwenguni!
· Mjue Mtume Wako (SAW) Vizuri Uzidi Kumpenda
· Hukmu Ya Kufuga Ndevu
· Kazi Katika Uislam: UTANGULIZI, HADHI YA KAZI, KAZI ZILIZOHARAMISHWA,
Tuesday, October 05
· Ingia Katika Milango Mingi Ya Kheri Ya Ramadhaan
· Tumkumbuke Allaah Sana Na Tuombe Maghfirah Baada Ya Kutenda Mema Katika Siku Kum
· Hajj: Hatua Kwa Hatua: Tazama Televisheni Ya Saudi Arabia kujua wanayofanya Mahu
· Makos Tanayohusu Twawaaf, Sa'y, Yanayotendeka Minaa, Katika Kisimamo Cha &#
Tuesday, May 11
· HADIYTH ARUBAINI ZA IMAAM AN-NAWAWIY NA TAFSIYR YA KISWAHILI
· SUNNAH NZURI KATIKA UISLAM: Jibu la Sheikh 'Abdul 'Aziz bin Baaz

Wazee Makala

Kiswahili

- Ukurasa Kuu
- Kumi Juu
- Mada Mpya
- Salimisha Habari
- Tafuta
- Kiswahili Jukwaa
- Kiswahili Wanachama
- Tathmini
- Ujumbe wa Kibinafsi
- Tafiti
- Majarida
- Hadithi Archive
- Maudhui
- Viungo vya Wavuti
- Vipakuliwa
- Maswali ya Kawaida
- Tunapendekeze
- Orodha ya Kuingia

Fadhila Za Hijaab: Hijaab ni ‘Iffah (Stara), Hijaab ni Twahara (Utakaso), Hijaab
 
 
Waislamu Wanawake - maisha yao na Famili Imefasiriwa na Salwa Muhammad
Fadhila Za Hijaab: Hijaab ni ‘Iffah (Stara), Hijaab ni Twahara (Utakaso), Hijaab Ni Ngao, Hijaab ni Taqwah (Ucha Mungu), Hijaab Ni Iymaan, Hijaab ni Hayaa, Hijaab ni (Ghiyrah) Ghera

Hijaab ni tendo tiifu kwa Allaah na kwa Mtume Wake (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam), Allaah (Subhaanahu wa Ta‘ala) kasema katika Qur-aan;

{{Haiwi kwa Muumini mwanamume wala Muumini mwanamke kuwa na khiari katika jambo, Allaah na Mtume Wake wanapokata shauri katika jambo lao. Na mwenye kumuasi Allaah na Mtume Wake basi hakika amepotea upotofu ulio wazi.}} Al-Ahzaab: 36

Allaah (Subhaanahu wa Ta‘ala) pia kasema;

{{Na waambie Waumini wanawake wainamishe macho yao, na wazilinde tupu zao, wala wasionyeshe uzuri wao isipokuwa unaodhihirika. Na waangushe shungi zao (juyuubihinna) juu ya vifua vyao}} An-Nuur: 31Juyuubihinna: Wanachuoni wastahifu kutoka katika zama za as-Salafus Swaalih (watangu wema) wamekhitalifiana kama vazi (Jilbaab) linalofunika mwili lazima lifunike mikono na uso au laa. Leo, wanachuoni wanaoaminika wanasema kuwa mikono na uso lazima ifunikwe. Wanachuoni wengine wanasema bora kwa wanawake kufunika mwili wao mzima.

Hijaab ni ‘Iffah (Stara)

Allaah (Subhaanahu wa Ta‘ala) kaifanya Hijaab dhahiri kuwa ni takaso na hayaa. Allaah (Subhaanahu wa Ta‘ala) kasema:

{{Ewe Nabii! Waambie wake zako, na binti zako, na wake za Waumini wajiteremshie nguo zao. Hivyo ni karibu zaidi kuweza kutambulikana wasiudhiwe. Na Allaah ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu}} Al-Ahzaab: 59

Katika aya hiyo hapo juu kuna ushahidi kuwa utambulifu wa kuonekana uzuri wa mwanamke ni madhara kwake. Na pindi sababu hiyo ya vile vyenye kusababisha mvuto na vishawishi vitakapoondoka, basi makatazo hayo huondoka. Hii ni kama tunavyoona kwa upande wa wanawake vizee ambao wanaweza kuwa wamepoteza kila kipengele cha kuvutia. Allaah (Subhaanahu wa Ta‘ala) kahalalisha kwa wao kuweka pembeni buraa zao na kuonyesha sura na mikono yao, lakini ni bora zaidi kuweka stara zao.

Hijaab ni Twahara (Utakaso)

Allaah (Subhaanahu wa Ta‘ala) kautonyesha hekima nyuma ya Shari'ah ya Hijaab:

{{Na mnapowauliza wakeze haja waulizeni nyuma ya mapazia. Hivyo ndio usafi zaidi kwa nyoyo zenu na nyoyo zao.}} Al-Ahzaab: 53

Hijaab ni muundo wa usafi kwa mioyo ya waumini wa kiume na kike kwa sababu ni kinga au kiziuzi dhidi ya matamanio ya moyo. Bila ya Hijaab, moyo unaweza kutamani mambo machafu. Na hivyo ndio maana moyo upo safi zaidi wakati mwanamke anapojifunika, au kuhifadhiwa (na Hijaab) na vile vile inazuia fitna (matendo maovu). Hijaab inakata taamuli (fikra) mbovu na matamanio mabovu ya moyo.

{{Enyi wake wa Nabii! Nyinyi si kama yeyote katika wanawake wengine. Kama mnamcha Mungu basi msiregeze sauti zenu, akaingia tamaa mwenye maradhi katika moyo wake. Na semeni maneno mema.}} Al-Ahzaab: 32

Hijaab Ni Ngao

Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) kasema:

“Allaah, Aliye juu, ni Pepo, ni Hayii (Mwenye Kustahi), Sittiyr (Kinga). Anapenda Hayaa na Sitr (Kinga)” (Abu Daawuud)

Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) pia kasema:

((Mwanamke yeyote anayevua (hajisitiri sawasawa) nguo zake mbele ya yeyote zaidi ya mume wake (ima kwa kuijionyesha au kusifiwa), amevunja kinga ya Allaah juu yake)).

Hadiyth hii inaonyesha namna ambavyo kitendo kinalipwa kutokana na uzuri au ubaya wake.

Hijaab ni Taqwah (Ucha Mungu)

Allaah (Subhaanahu wa Ta‘ala) Anasema:

{{Enyi wanaadamu! Tumekuteremshieni nguo za kuficha tupu zenu, na nguo za pambo. Na nguo za ucha Mungu ndio bora. Hayo ni katika Ishara za Allaah mpate kukumbuka}} Al-A‘araaf:26

Hizi zama tulizonazo hivi sasa, mtindo mingi ya mavazi iliyopo ulimwenguni leo, ni ya kujionyesha tu na aghlabu sana kuchukuliwa kama ni stara ya mwili wa mwanamke. Lakini kwa wanawake waumini, makusudio ni kujihifadhi miili yao na kuficha maumbo yao. Kama walivyoamrishwa na mwenyewe (Allaah). Na hilo ni tendo la Taqwa (Ucha Mungu).

Hijaab Ni Iymaan

Allaah (Subhaanahu wa Ta‘ala) Hakuyaeleza maneno yake kuhusu Hijaab ila kwa wanawake Waumini (al-Muuminaat). Katika sehemu nyingi kwenye Qur-aan Allaah (Subhaanahu wa Ta‘ala) Anarejea kutaja "Wanawake Waumini"! Mama wa Waumini ‘Aaishah (Radhiya Allaahu ‘anha), mke wa Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam), aliwambia baadhi ya wanawake wa kabila la Banu Tamiym waliokuja kumtembelea yeye (Radhiya Allaahu ‘anha) na wakawa wamevaa nguo nyepesi, yaani nguo ambazo si stara kwa mwanamke wa Kiislam. Mama wa Waumini ‘Aaishah (Radhiya Allaahu ‘anha) akawaambia: “Ikiwa nyinyi ni wanawake Waumini, basi hakika, hilo sio vazi la mwanamke Muuminah analotakiwa kuvaa, na ikiwa sio wanawake Waumini, basi shauri yenu ikiwa mnaona mnafaidika”
Hijaab ni Hayaa

Kuna Hadiyth mbili Sahihi ambazo zinasema: “Kila Dini ina maadili na maadili ya Uislamu ni Hayaa” (Ibn ‘Abdil-Barr, al-Mundhiry na kutoka katika kitabu cha at-Targhiyb wa at-Tarhiyb cha Shaykh al-Albaaniy), na “Hayaa ni katika Iymaan na Iymaan imo katika Pepo” (at-Tirmidhy)

Hijaab ni (Ghiyrah) Ghera

Hijaab inaungana na hisia za kimaumbile ya Ghera, ambayo ni lazma kwa mwanamme aliyekuwa hapendi kuona watu wakimwangalia mke na watoto wake wa kike. Ghera ni mtukutiko unaochemka kwa mwanamme unaomsukuma kuona wivu na kuwakinga wanawake waliokuwa wamehusiana nae kutoka kwa wageni na wasio Maharimu zao. Mwanamme mkamilifu wa Kiislamu ana Ghera (wivu) kwa wanawake wote wa Kiislamu kuwakinga hao wanawake na matamanio na uchu wa wanaume. Katika Itikio la matamanio, wanaume wanawaangalia wanawake wengine kwa uchu na matamanio na hawajali kama wanaume wengine wanafanya hayo kwa wake zao na watoto wao wa kike. Mchanganyiko wa kijinsia na kukosekana Hijaab ni jambo lenye kuangamiza Ghera ya wanaume. Uislamu unachukulia Ghera ni sehemu ya Iymaan. Heshima ya mke na binti au mwanamke yeyote wa Kiislamu ni lazima iheshimiwe na kulindwa.

 
 
 Posted By Posted juu ya Wednesday, December 19 @ 12:01:37 PST na MediaSwahiliTeam
 
 
:-: Go Home :-: Go Top :-:
 
 
 
Comments & Debates :-: التعليقات والمحاورات

 
 
For Your Membership Comments And Registered Debates Please, See Below Or Register Here :-: للحصول على تعليقات عضويتك و مناقشات الأعضاء انظر من فضلك أدناه أو سجّل هنا
 
 
:-: Go Home :-: Go Top :-:
 

Kuhusiana Viungo

· zaidi Waislamu Wanawake - maisha yao na Famili
· Habari na MediaSwahiliTeam


Kweli kusoma hadithi kuhusu Waislamu Wanawake - maisha yao na Famili:
Elimu Ni Wajibu Kwa Mwanamke Wa Kiislamu - MIFANO YA WANAWAKE WATUKUFU


Kifungu Rating

Wastani matokeo: 0
Kura: 0

Tafadhali chukua ya pili na kupiga kura kwa ajili ya makala hii:

bora Vizuri Sana Mema Kawaidar Mbaya

Chaguzi


 Chapa Rafiki Chapa Rafiki


Mada zinazohusiana

Waislamu Wanawake - maisha yao na Famili

 

 
EsinIslam The Muslim World Portal For Islamics, News, Fatwas, Audios, Videos, Muslim News, Quranic Islamic Articles, Radio, Audio Quran, TV Channels, Fatwa Rulings, Muslim News Newspapers Magazines Headlines Articles Forums Schools, Universities, Colleges, Mosques, Qur'an, Hadith, Sunnah, Fiqh, Prayers, Salat, Fasting Ramadan, Vidoes, Books On EsinIslam.Com And Muxlima.Com

  :-: Go Home :-: Go Top :-: