Swahili
- Ukurasa Kuu    - Kumi Juu    - Mada Mpya    - Salimisha Habari    - Tafuta    - Kiswahili Jukwaa    - Kiswahili Wanachama    - Tathmini    - Ujumbe wa Kibinafsi    - Tafiti    - Majarida    - Hadithi Archive    - Maudhui    - Viungo vya Wavuti    - Vipakuliwa    - Maswali ya Kawaida    - Tunapendekeze    - Orodha ya Kuingia   
 
EsinIslam Media Swahili: Maamuzi Ya Kufunga Ramadhan Na Kuabudu

Tafuta mada hii:   
[ Nenda nyumbani | Chagua Mada Mpya ]

Maamuzi Ya Kufunga Ramadhan Na Kuabudu

Zichume Sifa Kumi Njema - Sifa Ya Saba - Wanaume Na Wanawake Watoao Sadaka
(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | 32642 ka zaidi | Bao: 0)

Zichume Sifa Kumi Njema - Sifa Ya Saba - Wanaume Na Wanawake Watoao Sadaka

Anasema Allaah سبحانه وتعالى:
((إِنَّ الْمُسْلِمِينَ وَالْمُسْلِمَاتِ وَالْمُؤْمِنِينَ وَالْمُؤْمِنَاتِ وَالْقَانِتِينَ وَالْقَانِتَاتِ وَالصَّادِقِينَ وَالصَّادِقَاتِ وَالصَّابِرِينَ وَالصَّابِرَاتِ وَالْخَاشِعِينَ وَالْخَاشِعَاتِ وَالْمُتَصَدِّقِينَ وَالْمُتَصَدِّقَاتِ …))
((Hakika Waislamu wanaume na Waislamu wanawake, na Waumini wanaume na Waumini wanawake, na watiifu wanaume na watiifu wanawake, na wasemao kweli wanaume na wasemao kweli wanawake, na wanao subiri wanaume na wanaosubiri wanawake, na wanyenyekevu wanaume na wanyenyekevu wanawake, na watoao sadaka wanaume na watoao sadaka wanawake…)) [Al-Ahzaab:35]



(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | 32642 ka zaidi | Bao: 0)
 


Maamuzi Ya Kufunga Ramadhan Na Kuabudu

Sha'abaan: Fadhila Zake Na Uzushi Wa Nisfu Sha'abaan - Nasiha Za Minas
(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | 26919 ka zaidi | Bao: 0)

Nasiha Za Minasaba Mbalimbali
Sha'abaan: Fadhila Zake Na Uzushi Wa Nisfu Sha'abaan - Nasiha Za Minasaba Mbalimbali

Sha'abaan - Fadhila Zake Na Uzushi Wa Nisfu Sha'abaan

Mwezi wa Sha’abaan ni mwezi wa nane katika kalenda ya Kiislam. Na ni mwezi ambao upo katikati ya miezi miwili mitukufu; Rajab na Ramadhaan. Mambo ya kuzingatia katika mwezi huu ni kuweza kupambanua yaliyo sahihi na yaliyozushwa, kwani ingawa kuna fadhila zake mwezi huu lakini pia mengi yaliyoenea na yanayofanywa na watu, ni ya Upotofu.



(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | 26919 ka zaidi | Bao: 0)
 


Maamuzi Ya Kufunga Ramadhan Na Kuabudu

Matayarisho Ya Ramadhaan: Jitathmini Kabla Ya Ramadhaan
(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | 10011 ka zaidi | Bao: 0)

Imetayarishwa na: Abu Faatwimah
Matayarisho Ya Ramadhaan: Jitathmini Kabla Ya Ramadhaan

1 - Nitapenda kuikaribisha Ramadhaan kwa:
A.     Kuomba Du'aa kufikishwa kukutana na Ramadhaan nikiwa katika hali ya siha nzuri na usalama na kuwafikishwa kuweza kuifunga na kufanya ibadah zangu kama zitakiwavo kwa kufuata Sunnah na kwa hamu, uchangamfu na wepesi.



(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | 10011 ka zaidi | Bao: 0)
 


Maamuzi Ya Kufunga Ramadhan Na Kuabudu

Fadhila Za Swawm: Funga inamuokoa mtu kutokana na moto, Swawm ni kinga kutokana
(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | 10816 ka zaidi | Bao: 0)

Ukht Muznah Faraj
Fadhila Za Swawm: Funga inamuokoa mtu kutokana na moto, Swawm ni kinga kutokana na matamanio etc

Ndugu katika Iymaan 

Sifa njema zote Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’ala) Mola wa viumbe wote mwingi wa rehma na mwingi wa kusamehe na rehma na amani zimfikie kipenzi chake Allaah Mtume wetu Muhammad (swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) Jamaa na Sahaba wake wote. 

Amma Baad:

Ndugu yangu Muislamu ama kwa hakika umetufikia mwezi ulio mtukufu na wenye fadhila kubwa na mavuno kwa wenye mazingatio kwa hayo, nao ni mwezi wa Ramadhaan ambao Allaah Ameufaradhisha kwa Waislam kwa kauli yake Jalla wa ‘Alaa Aliposema: 



(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | 10816 ka zaidi | Bao: 0)
 


Maamuzi Ya Kufunga Ramadhan Na Kuabudu

'Iyd Taratibu Na Shari'ah Zake: Ahkaamul-'Iyd (Shari'ah Kati
(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | 33927 ka zaidi | Bao: 0)

Imetafsiriwa na: Ummu Ummu Ayman

'Iyd Taratibu Na Shari'ah Zake: Ahkaamul-'Iyd (Shari'ah Katika 'Iyd)



Sifa njema ni za Allaah, Bwana wa Ulimwengu, na rehma na amani zimshukie Mtume wetu Muhammad na Aali zake na Swahaba zake.
“'Iyd” ni neno la kiarabu linalomaanisha jambo la kitabia au ada, lenye kurudi na  kujirejea. 'Iyd au sikukuu ni alama au nembo inayopatikana katika kila taifa, ikiwa ni pamoja na mataifa yale yaliyotajwa katika vitabu vitukufu na yale ya waabudiao masanamu, pamoja na wengineo, kwa sababu kusherehekea sikukuu ni jambo la kimaumbile katika maumbile ya mwanaadamu. Watu wote wanapenda kuwa na matukio  maalumu ya kufanya sherehe, ambapo wanaweza kukukusanyika pamoja na kuonyesha furaha zao.



(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | 33927 ka zaidi | Bao: 0)
 


 

EsinIslam The Muslim World Portal For Islamics, News, Fatwas, Audios, Videos, Muslim News, Quranic Islamic Articles, Radio, Audio Quran, TV Channels, Fatwa Rulings, Muslim News Newspapers Magazines Headlines Articles Forums Schools, Universities, Colleges, Mosques, Qur'an, Hadith, Sunnah, Fiqh, Prayers, Salat, Fasting Ramadan, Vidoes, Books On EsinIslam.Com And IslamAfrica.Com